Azam FC iliyopo ziarani katika nchi za Uganda na Rwanda, jana walianza vibaya ziara yao katika jiji la Kampala baada ya kukubali kichapo cha goli 4-3 toka kwa mabingwa wa Uganda Bunamwaya SC.
Magoli ya Azam FC yalitiwa kimiani na Kipre Tchetche na Khamis Mcha Viali katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Nakivubo na kushuhudia Azam FC wakifungwa goli 3 ndani ya dakika 10 za mwanzo.
Azam FC walikwenda mapumzi wakiwa nyuma kwa goli 4-1 ambapo goli la nne kwa Bunamwaya likifungwa dakika moja kabla ya timu kwenda mapumziko, huku goli la Azam FC likifungwa na Kipre Tchetche.
Katika kipindi cha pili Azam FC ilitulia nakucheza kwa uweleano mkubwa na kufanikiwa kupata magoli mawili kupitia kwa Khamis Mcha Viali. Hadi mwisho wa mchezo Azam FC 3 - 4 Bunamwaya.
Chanzo: Patrick Kahemela (PK) katika kundi la kandanda

0 Maoni:
Post a Comment