Azam Academy imepangwa na bingwa mtetezi Ruvu Shooting katika michuano ya Uhai Cup yanayotarajiwa kuanza november 12 mpaka december 13.
Timu 15 zinatarajiwa kushiriki, katika michuano hiyo inayoshirikisha timu za vijana za vilabu za ligi kuu, huku Serengeti Boy akishiriki kama mwalikwa.
Michuano hiyo ambayo Azam Academy imeitwaa mara mbili mfululizo kabla ya kuachia kwa Ruvu Shooting mwaka jana, yatafanyika katika Uwanja wa Karume na Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Mbande, huku kwa siku kukichezwa mechi 6, kila uwanja ikibeba mechi 3.
Makundi.
Kundi A.
Ruvu Shooting Stars
JKT Oljoro
Kagera Sugar
Azam Academy
Mtibwa Sugar.
Kundi B
JKT Ruvu Stars
Polisi Dodoma
Moro United
Yanga
Villa Squad
kundi C
Simba SC
Coastal Union
Toto Africans
African Lyon
Serengeti Boys.
Azam Academy itafungua na Kagera sugar katika uwanja wa Karume saa kumi jioni November 12.
Tuesday, November 8, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment