Friday, June 29, 2012

Azam wapangwa na Tusker, Kagame Cup

Posted By: azam fans - 4:50 PM

Share

& Comment

Mabingwa wa mapinduzi Azam FC wamekwa kundi B pamoja na Mafunzo ya Zanzibar na Tusker ya Kenya katikac kinyanganyiro cha kusaka bingwa wa Ukand wa Afrika Mashariki na Kati 'Kagame Cup' yanayotaraji kuanza julai 14 mwaka huu jijini Dar es salaam.




Azam Fc watacheza mchezo wao wa kwanza katika julai 15 dhidi ya Mafunzo FC katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi na julai 21 watameliza na Tusker ya Kenya.

Kundi La Azam FC itatoa timu mbili kwenda katika hatua ya robo fainali itakayo chezwa julai 23 na 24 mwaka huu.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.