Mshambuliaji
wazamani wa Yanga aliyekuwa anaitumikia Azam FC amesajiliwa Simba SC
kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom kwa uwamisho wa $50,000.
Kwa majibu wa taarifa iliyowekwa katika ukurasa wa Azam FC ndani ya Facebook inaeleza kuwa klabu hiyo imefikia uwamuzi huo baada ya Ngassa kuonesha dhamira ya kutotaka kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani baada ya kunaswa anabusu logo ya wapinzani wa Simba.
"Klabu ya Azam FC inapenda kutoa taarifa rasmi kuwa baada ya baada ya mchezaji wetu Mrisho Ngasa kuonesha wazi kuwa na mapenzi na Yanga kwa kuivaa na kuipiga busu Logo ya Yanga, tuliwapa Yanga nafasi ya upedeleo ya kumnunua lakini hadi leo hakuna ofa iliyokuja toka Yanga. simba wametoa ofa na uongozi unatafakari ofa ya Simba

Me nafikili hayo maamuzi ya Ngasa imetokana na kutothaminiwa Azam FC ya kupigwa bench na kupewa dk chache za mchezo roho ikwa inamuuma ndo maana kaamua kufanya kitendo hcho kumbuka kila lifanywalo linamaana fulani katika dhamira ya mtu
ReplyDelete