Ni takriban miezi 7 toka Simba SC watangaze na kuzindua Simba TV iliyorushwa siku moja katika kituo cha Clouds TV na sasa Azam FC wako mbioni kuzindua Azam TV show kitakacho kuwa kikirushwa kupitia Channel ten.Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye kurasa ya Azam FC ndani ya Facebook, kipindi hicho kitakuwa ni cha dakika 45 ambapo kitazungumzia masuala mbalimbali ya Azam FC."Azam FC inatarajia kuzindua kipindi chake cha kila wiki cha dakika 45 cha matukio ya klabu uwanjani kitakachojulika na kama Azam FC TV - Show..." ilieleza taarifa hiyo.Taarifa hiyo iliambatanishwa na Demo ya kipindi hiko ambayo ni hii yapa;
Friday, September 28, 2012
AZAM TV SHOW YAJA
Posted By: kj - 4:40 PMNi takriban miezi 7 toka Simba SC watangaze na kuzindua Simba TV iliyorushwa siku moja katika kituo cha Clouds TV na sasa Azam FC wako mbioni kuzindua Azam TV show kitakacho kuwa kikirushwa kupitia Channel ten.Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye kurasa ya Azam FC ndani ya Facebook, kipindi hicho kitakuwa ni cha dakika 45 ambapo kitazungumzia masuala mbalimbali ya Azam FC."Azam FC inatarajia kuzindua kipindi chake cha kila wiki cha dakika 45 cha matukio ya klabu uwanjani kitakachojulika na kama Azam FC TV - Show..." ilieleza taarifa hiyo.Taarifa hiyo iliambatanishwa na Demo ya kipindi hiko ambayo ni hii yapa;
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment