![]() |
Seif Abdallah juu kabisa aliyepiga kichwa mpira (haupo pichani), chini yake Himid Mao na kushoto John Bocco 'Adebayor' katika mazoezi ya Azam viwanja vya Gymkhana leo asubuhi |
![]() |
Beki David Mwantika akimiliki mpira mbele ya kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho' |
![]() |
Kipre Tchetche kulia akizungumza na Brian Umony kushoto |
![]() |
Khamis Mcha 'Vialli' kushoto akitafuta mbinu za kumtoka Omar Mtaki kulia |
![]() |
Kocha Muingereza, Stewart Hall kushoto akitoa maelekezo kwa vijana wake wakati wa mazoezi |
![]() |
Hapa ni wakati wa mazoezi ya nguvu, ambayo huongozwa na Ibrahim Shikanda |
![]() |
Jabir Aziz Stima akinyoosha mgongo kwa kulalia mpira |
![]() |
Mchezaji mwenye mashuti makali, Abdi Kassim 'Babbi' akinyoosha viungo |
![]() |
John Bocco 'Adebayor' akinyoosha viungo |
![]() |
Kipre Tchetche akinyoosha viungo |
![]() |
Beki Joackins Atudo a |
0 Maoni:
Post a Comment