Azam fc siku ya jumapili machi 17 watakuwa wageni wa Barrack YC II ya Liberia katika mchezo wa awali wa kombe la shirikisho la mpira wa miguu Afrika.
Azam wanaondoka alfajiri hii wakiwa teyari kwa ajili ya kupeperusha bendera ya Tanzania, na watawaacha wachezaji wa tatu nchini.
Wachezaji wanao ondoka ni pamoja na makipa: MWADINI ALLY na AISHI SALUM MANUELI wakati mabeki ni: WAZIRI SALUM, JACKSON ATUDO, DAVID MWANTIKA, MALIKA NDEULE, LACKSON KAKOLAKI na HIMID MAO.
Viungo ni: ABDUL HALIM HOMOUD, HUMPHREY MIENO, IBRAHIM MWAIPOPO, MICHAEL BOLOU, SALUM ABOUBAKARY, JABIR AZIZI, KHAMISI MCHA, UHURU SULEIMAN na ABDI KASSIM.
Washambuliaji ni: JOHN BOCCO, ABDALLAH SEIF, KIPRE TCHETCHE, GAUDENCE MWAIKIMBA na BRIAN UMONY
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com
[+255 657 184 421]
0 Maoni:
Post a Comment