Monday, June 3, 2013

WASEMACHO WADAU KUHUSU USAJILI WA AZAM FC

Posted By: Unknown - 5:16 PM

Share

& Comment

Moo Love
kuna umuimu wa streaker mastreaker we2 wazito wote mwaikimba na boko ishu ni streaker2


Ochu Kepteni
Safiiiiii xaaaaaaana


Milli Vanila
Usajili mzuri sana big up azam fc, kuchang

King Kabysar
Wanafaa hao kam vp 2nachang mastraik wanakua mabek thn mabek wanakua mastrk, no more majanga

Milli Vanila
Usajili mzuri sana sema kina yakhee wako wengi

Makaveli Martins
@Moo karihe ni mwepesi na analijua goli...anahitaji kupewa nafasi mara kwa mara..

Andrew Faustine
umoja ni nguvu viva azam fc

Qmax Bongo
thats gud, kumaintain timu ni kitu kizuri kukuza uelewano uwanjani, hope next year mtachukua kombe

Dyubic Maunzukic
Nawapenda sana nyie sio kama wale@azam fc 4 life.

Cuthberty George
kazi kwenu chama kubwa!

Rashid Khamis
mwakani tujitahidi tuchukue ubingwa wa ligi kuu bara

Gannuel Blessus
this time tunaomba Azam Fc muende Norway/Sweden au South Africa for trial matches....

Shenk Chriss
Ingekua vzuri kama mngetafuta Forward Mmoja mzuri sana wa kuweza kumaliza tatizo la pale mbele. Moja wapo ya kilichofanya msisonge mbele kwenye Confederation cup ni Washambuliaji kukosa umakini na uchu wa kupiga magoli. Rabat ilipaswa muwamalize Hapahapa Tz lakini kukosa Umakini kule mbele ndo kilichowaangusha. Me sio kocha wala mtaalam wa wachezaji... Me haya ni maoni yangu tu kama shabiki wa soka. tungependa kuona timu zetu zikipeperusha vzuri bendera ya tanzania katika michuano ya kimataifa.

 #Nimeangalia Katika makundi yalopangwa najikuta nakasirika tu sababu timu zilizopo ni kama zetu tu wanatushinda umakini tu kuanzia management mpaka kwa wachezaji wenyewe.

Yasmin Mazrui
Milli Vanila@ kumbe una chuki na wazenj? Pole sana na utaumia roho sana maana mwalimu ndo amewakubali hata hivyo huyo Bakhresa ni yakhe au naye apunguzwe? Pumbavuuu

Geofrey Mwakubali
Hongera sana Azam FC pia Tunawatakia kila la kheri katka mipango yenu. NAWAPONGEZA SANA KWA KUMUAMINI MWALIMU WENU NA WACHEZAJI WENU. NAWAKUBALI SANA AZAM FC

Shenk Chriss
Trial muende karibu tu hapa SA mkafanye mazoezi na timu zinazojua.

Philbert Balozi
Kagame mbona hamshriki


Issa De Black Bway
Nendeni uarabu mkak0mazwe vijimbi#

Hassan Omari
Hongera sana kwa kuamini na kuwapa chipukizi nafac..Azam for life



Kama una maoni yoyote kuhusu azam fc na untaka yonekane katika blog hii, tutumie maoni yako katika email address azamfan@hotmail.com ama aboodmsuni21@gmail.com

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.