Monday, October 28, 2013

AZAM KUWAKABILI SIMBA SC TAIFA

Posted By: Unknown - 5:28 AM

Share

& Comment

Mabingwa wa kombe la ma[induzi AZam FC leo watakuwa na kibarua cha kurejea katika msimamo wa ligi kuu ya vodacom pale watakapo wakabili vinara wa ligi kuu ya vodacom katika Simba sc katia uwanja wa Taifa.

Simba na Azam FC wote wanaponti 20 sawa na Mbeya city wakitofautiana katika uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa. Mshindi wa mchezo huu wa leo ndie atakae kalia nauongozi wa ligi, na matokeo ya sare yatampa nafasi ya mabngwa watetezi Yanga kukalia kileleni endapo atashinda mchezo wake.

Azam FC leo wanatarajia kuendelea kukosa huduma ya kipa Aishi Manula aliye majeruhi, huku wachezaji wengine wakiwa fiti kwa ajili ya mchezo huo,

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.