Thursday, October 10, 2013

AZAM WAWACHAPA MGAMBO

Posted By: Unknown - 12:34 AM

Share

& Comment

Makamu binwa wa ligi kuu yadocam Azam FC jana ilipata ushindi wake wa tatu katika michezo nane ya ligi kuu ya vodacon waliyo kwisha cheza na kufanikiwa kushika nafasi ya pili.

Azam FC hiyo jana walikuwa katika uwanja wa Azam complex uliopo Chamazi kuwakaribisha Mgambo shooting.

Azam FC wakishuka katika uwanja wa Azam complexs kwa mara ya pili ndani ya msimu huu mpya wa ligi na kufanikiwa kuwafunga Mgambo shooting goli 2-0.


Azam FC iliwabidi wangoje mpaka kipindi cha pili kuandika goli la kuongoza kupitia kwa chipukizi aliyetokea benchi Faridi Mussa Maliki katika dakika 66.

Fardr Mussa Maliki aliandika goli la kuongoza akiunga mpira uliopigwa na mshambuliaji Kipre Herman Tchechr.

Faridi Mussa katika dakika ya 83 alifanya jaribio la kuingia na mpira katika eneo la hatari, na mabeki wa Mgambo shooting kumchezea faulo liyo zaa penati iliyotiwa kimiani na Kipre Tcheche, na kupelekea matokeo ya mwisho kusomeka Azam FC 2- Mgambo shooting 0.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.