Monday, December 16, 2013

AZAM KUANZA NA WASUMBIJI SHIRIKISHO

Posted By: Unknown - 11:04 PM

Share

& Comment


https://fbcdn-photos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/s720x720/1521306_675654525808240_1695462285_n.jpg

Wawakilishi wa Taqnzania Bara katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Azam FC wamepangwa kucheza na  Ferroviario Da Beira ya Msumbiji katika Raundi ya Awali na endapo wakifanikiwa kuwatoa watacheza na mshindi kati ya St. Michel ya Shelisheli na ASSM Elgeco Plus ya Madagacar.

Azam FC watanzia nyumbani katika mchezo wake wa raundi ya awali utakao chezwa kati ya february 7,8 na 9 wakati marejeano itakuwa kati ya februari 14,15 na 16 mwakani.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.