![]() |
Wachezaji wa Azam wakienda kupanda basi lao jipya la Higer tayari kuelekea hotelini |
![]() |
Boti yaKilimanjaro IV iliyowaleta wachezaji wa Azam ikielekea kutia nanga katika bandari ya Zanzibar, iliyojengwa na na kampuni ya Azam Marine |
![]() |
Wachezaji wa Azam juu kabisa kwenye boti |
![]() |
Wachezaji wa Azam wakitoka bandarini |
![]() |
Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog kushoto na beki David Mwantika |
![]() |
Kulia Ibrahim Mwaipopo na kushoto Mudathir Yahya |
![]() |
Kocha Msaidizi Kali Ongala kushoto na Jabir Aziz kulia |
![]() |
Kipre Herman Tchetche kushoto na Muamad Ismael Kone kulia ndani ya basi |
![]() |
Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto akiweka kibegi chake kwenye eneo la mizigo |
![]() |
Siti ya nyuma; Kutoka kulia Said Mourad, John Bocco na Erasto Nyoni |
![]() |
Jabir Aziz na Mudathir Yahya karibu na choo |
CHANZO BINZUBEIRY
0 Maoni:
Post a Comment