Saturday, March 22, 2014

MANULA NAV WENZAKE WAPEWA RUHUSA NA TFF

Posted By: kj - 12:00 PM

Share

& Comment

Baada ya maombi ya Azam FC kupelekwa TFF ili iwaruhusu wachezaji sita wa Under 20 waliochaguliwa kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa kati ya nane ambao ni Gardiel Michale, Brison Raphael, Mudathir Yahya, Aishi Manula, Kevin Friday na Farid Mussa Malik 

Wachezaji hao tayari wameripoti Chamazi kwa ruhusa maalum ya TFF na watakuwepo kwenye mchezo dhidi ya JKT Oljoro.... Azam FC inajivunia vijana hawa wa Under20 ambao vipaji, ukakamavu, na mapenzi yao kwa Azam FC vimekuwa nguzo muhimu katika kampeni yetu ya kujaribu kutwaa ubingwa wa Tanzania kwa mara ya kwanza....

 Kesho Chamazi Complex ni Azam FC vs JKT Oljoro.... kama upo mbali na Chamazi popote Afrika kusini mwa jangwa la Sahara tafuta kisimbuzi cha Azam TV utapata uhondo huu LIVE....

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.