Sunday, September 28, 2014

AZAM FC Vs RUVU SHOOTING KATIKA PICHA

Posted By: Unknown - 11:55 AM

Share

& Comment

Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akimuacha chini beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.
Mfungaji wa mabao yote ya Azam FC jana, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Ruvu, Salvatory Ntebe
Mashabiki wa Azam FC wakifurahia jana
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka wachezaji wa Ruvu jana
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka kiungo wa Ruvu jana
Kikosi cha Ruvu jana
Kikosi cha Azam FC jana

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.