Monday, December 29, 2014

AZAM NA YANGA KATIKA PICHA

Posted By: kj - 6:39 PM

Share

& Comment

KUTOKA BLOG YA BIN ZUBEIRY
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman kushoto akiwania mpira dhidi ya beki wa Azam FC, Shomary Kapombe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 2-2.
Beki wa Yanga SC, Edward Charles akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa winga wa Azam FC, Brian Majwega
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Shomary Kapombe
Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Shomary Kapombe
Mshambuliaji wa Azam FC Didier Kavumbangu akiifungia timu yake bao la kwanza jana katika sare ya 2-2 na Yanga SC. Aliyekaa chini ni beki wa Yanga SC Mbuyu Twite na wengine kushoto ni kipa Deo Munishi 'Dida' na beki Juma Abdul
Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Erasto Nyoni
Kipa wa Yanga SC, Deo Munishi 'Dida' akiwa ameenda hewani kuokoa m,pira wa juu dhidi ya Didier Kavumbangu wa Azam FC
Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akipasua katikati ya wacheaji wa Yanga SC

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.