Sunday, December 14, 2014

BOCO AREJEA, AFANYA MAZOEZI NA KIKOSI NCHINI UGANDA

Posted By: Unknown - 7:56 AM

Share

& Comment

Mabingwa wa ligi ya Tanzania bara Azam fc waliwasili salama nchini Uganda juzi usiku na jana jioni walifanya mazoezi mepesi katika uwanja wa KCCA.

Katika mazoezi hayo jana yalishuhudia urejeo wa nahodha wa azam fc, John Raphael Bocco aliyekuwa majeruhi kwa takribani miezi minne.

Azam fc wako Uganda kwa ajili ya michezo ya kirafiki ya kimataifa, ambapo wanataraji kurejea nchini desemba 22 wakiwa teyari kuwakabili yanga desemba 28 katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.