Sunday, December 14, 2014

HONGERA NYONI NA TCHECHE

Posted By: Unknown - 7:34 AM

Share

& Comment

Juzi usiku katika ukumbi wa Dimond jubilee, kulikuwa na utoaji wa tuzo za wanamichezo waliofanya vyema katika mwaka huu (2014) zilizo tolewa na TASWA ambapo tuzo mbili zilienda kwa wachezaji wa azam fc.

Beki Erasto Nyoni alifanikiwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka katika wanasoka wakitanzania wanaocheza soka Tanzania, akiwabwaga beki wa yanga Nadir Haroub na mshambuliaji wa simba sc Elius Maguri.

Huku mshambuliaji Kipre Herman Tcheche akifanikiwa kuchukuwa tuzo ya mwanasoka wa kigeni anaecheza nchini, akiwabwaga mshambuliaji wa simba sc Amisi Tambwe pamoja na kiungo wa yanga Mbuyu Twite.

Blog hii na timu nzima ya Aboodmsuni Network inawapongeza wachezaji hao na wengine waliofanikiwa kupokea tuzo za TASWA hapo juzi.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.