Tuesday, December 2, 2014

SURE BOY ASHINDANISHWA NA KINA SAMATA, LINKI YA KUMPIGIA KURA HII HAPA

Posted By: kj - 6:26 PM

Share

& Comment

http://static.goal.com/669400/669481_heroa.jpg
Kiungo mchezeshaji wa Azam FC Salum Aboubakari "Sure Boy" ametajwa sambamba na Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata, Jonas Mkude na Mrisho Ngassa katika kinyanganyiro cha mchezaji bora wa GOAL.COM kutoka Tanzania.

Salum Aboubakari ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Azam FC katika harakati za kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ametajwa katika tuzo hizo ambazp zinafanyika kwa mara kwanza.

Mwisho wa kupiaga kura ni siku ya ijumaa ya desemba 5 mwaka huu, kutaka kumpiagia kura Salum aboubakari tembela link hii http://www.goal.com/en-tz/news/5819/tanzania-player-of-the-year/2014/12/01/6661701/revealed-the-five-nominees-for-the-goal-tanzania-player-of?ICID=SP mwisho wa post kuna sehemu ya kupiga kura, unachotakiwa ni kubofya jina la mchezaji unaemuona anafaa kuwa mchezaji bora wa Tanzania mwaka 2014

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.