Thursday, December 25, 2014

WACHEZAJI WALIVYOSHEHEREKEA KRISMAS

Posted By: kj - 7:45 PM

Share

& Comment

KUTOKA KWA BIN ZUBEIRY BLOG

Mshambuliaji Mrundi wa Azam FC, Didier Kavumbangu akipata chakula cha mchana katika eneo maalum la mapumziko la wamiliki wa klabu hiyo, kampuni ya Said Salim Bakhresa Limited, liliopo eneo la ufukwe wa Kigamboni jirani na Ng'onda na Chadibwa Beach, Dar es Salaam leo.
Kocha Msaidizi, Mganda George 'Best' Nsimbe kushoto akiwa na Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba katika hafla hiyo ya sikukuu ya Krisimasi
Beki Serge Wawa Pascla kutoka Ivory Coast akijipakulia chakula
Winga Mganda, Brian Majwega kulia na kiungo mzalendo Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto
Kutoka kulia Shomary Kapombe, Gardiel Michael wote mabeki wa pembeni na kipa Aishi Manula
Frank Domayo kulia akiwa na Joseph Kimwaga
Mshambuliaji John Bocco 'Adebayor' akipakua chakula
Mshambuliaji Kipre Tchetche akiondoka kwenye meza baada ya kujipimia kiasi chake

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.