Thursday, December 18, 2014

WANNE WAINGIA, WATATU WATOKA DIRISHA DOGO LA USAJILI

Posted By: Unknown - 10:56 AM

Share

& Comment

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYsAeHv_mkFMJJxegBAP3jSF2QeOvtKjDEl3qj1bgEgeNna4Qrz8ezgcmTtahskKjaR1HDBPX3aTVumAgdBAextjJMVXBl7XirGB2ek0FgH9hDYESjT1bY-WDZQxcesj2FQnQeHzaD000V/s320/10848599_875384995835191_131982673044563796_o-746010.jpg
Dirisha dogo la usajili limefungwa tangu tarehe 15. Desemba. 2014 na wafuatao ndio wachezaji ambao klabu imewasajili katika kipindi hiki cha usajili ili kuiongezea makali klabu yetu;
1. PASCAL WAWA - El Merrikh (SUDAN)
2. BRIAN MAJWEGA - KCCA(UGANDA)
3. MAHADHI KHAMISI - MAFUNZO(ZNZ)
4. AMRI KIEMBA - SIMBA(YUPO KWA MKOPO)

Aidha klabu iliamua kuachana na wachezaji wawili wa kigeni kwa sababu mbalimbali ambao ni;
1. ISMAILA DIARRA - MALI
2. LEONEL SAINT PREUX - HAITI

Lakini pia imempeleka kwa mkopo wa muda mrefu kwenye klabu ya African Lyon DIZANA ISSA hadi mwisho wa msimu.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.