Tuesday, August 25, 2015

AZAM ACADEMY KUWAVAA POLISI DAR KESHO, MCHEZO WA UTANGULIZI KABLA YA AZAM FC KUWAVAA MWADUI

Posted By: kj - 7:27 PM

Share

& Comment

Kikosi cha pili cha Azam FC kesho kitashuka katika uwanja wa Azam Complex kucheza dhidi ya Polisi ya Dar es salaam, mchezo utakao anza saa kumi jioni.

Msemaji wa Azam FC amesema kuwa kesho kabla ya mchezo wakirafiki baina ya Azam FC na Mwadui, kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Azam academy dhidi ya Polisi ya Dar es salaam.

Mchezo wa Azam FC na Mwadui FC utachezwa saa mopja usiku huku mchezo wa Polsi na Azam academy ukianzaa saa 10 alasiri.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.