Saturday, August 1, 2015

AZAM FC DHIDI YA KCCA JANA KATIKA PICHA

Posted By: kj - 10:11 AM

Share

& Comment

Kipre Tchetche (kushoto) akizuiwa barabara na beki wa KCCA
Kipre Tchetche (kushoto) akizuiwa barabara na beki wa KCCA
Pascal Wawa (kushoto) akipokea king'amuzi cha DSTV baada ya kuibuka mchezaji bora wa mechi ya nusu fainali dhidi ya KCCA
Pascal Wawa (kushoto) akipokea king’amuzi cha DSTV baada ya kuibuka mchezaji bora wa mechi ya nusu fainali dhidi ya KCCA
KCCA vs Azam 6
Mfungaji wa goli la Azam FC Shah Farid Mussa (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Azam mara baada ya kuigungia timu yake goli lililoivusha mpaka hatua ya fainali
Mfungaji wa goli la Azam FC Shah Farid Mussa (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Azam mara baada ya kuigungia timu yake goli lililoivusha mpaka hatua ya fainali
Mshambuliaji wa Azam FC John Bocco akijaribu kumtoka mlinzi wa KCCA wakati wa mchezo wao wa nusu fainali
Mshambuliaji wa Azam FC John Bocco akijaribu kumtoka mlinzi wa KCCA wakati wa mchezo wao wa nusu fainali
KCCA vs Azam 3
Mshambuliaji wa Azam FC akipambana na beki wa KCCA
Mshambuliaji wa Azam FC akipambana na beki wa KCCA
KCCA vs Azam 7

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.