
Ratiba iliyotolewa leo na bodi ya ligi inaonyesha Azam FC watafungua na Tanzania Prisons september 12 kabla ya kusafiri kwenda mkoani shinyanga kuwakabili Stand united na Mwadui FC september 16 na 20 mwaka huu.
Copyright © 2025 CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.
0 Maoni:
Post a Comment