Tuesday, June 13, 2017

KILA LA KHERI MAJEMBE

Posted By: Abdallah Sulayman - 11:26 AM

Share

& Comment

 Na Abdallah H.I Sulayman, Mbale Uganda

Nilitegemea kuna siku mfungaji wa wakati wote wa azam FC John Raphael Boccoataiacha timu hiyo na wakti huo ndio umefika japo kuwa sikutaraji kama ataondoka kwa namna hii alivyo ondoka na kujiunga na Simba SC.

Bocco anaondoka azam FC huku akituachia kumbu kumbu kubwa sisi mashabiki wa Azam FC kwa kuifanyia makubwa timu yetu hii japo kuwa kwa muda tofauti alikumbwa na majeraha yaliyo muyeka nnje ya uwanja lakini hicho hakimvui cheo cha 'LEGEND'.

Bocco, sambamba na Shomar Kapombe na Aishi Manula nimiongoni mwa majina pendwa kwetu mashabiki wa Azam |FC na tunasikitika kwa kutokuwa nanyi msimu ujao wa ligi ila ni imani yetu mtanedelea kuwa bora huko muendapo na Azam FC itaendelea kuimarika bila ya nyinyi. 

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.