Friday, September 30, 2011

JEZI ZA AZAM ZINAPATIKANA AZAM STADIUM

Posted By: azam fans - 5:27 PM

Share

& Comment


Leo nimekutana na comment inayo ulizia namna ya kupata uzi wa Azam wenye nembo ya Azam Cola (uzi mpya wa Azam).


Kwasasa jezi za Azam zinapatikana katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi kwa meneja wa uwanja. Pale zinapatikana jezi zote za msimu uliopita na za msimu huu kwa bei tofauti.

Jezi mpya zinazotumika msimu huu (zenye nembo ya Azam Cola) zinapatikana kwa Tsh 2,5000 uwanja hapo, wakati zile za msimu ulio kwisha zinapatikana kwa Tsh 5,000.

1 Maoni:

  1. inakuwa full mkuu..au ni shati tu
    ndetichia

    ReplyDelete

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.