Monday, December 19, 2011

Tsh 1000 kushuhudia silaha za Azam

Posted By: kj - 9:12 PM

Share

& Comment


Azam FC kesho december 20 watakwaana na Yanga katika mchezo wa kirafiki ambao utatumika kukusanya pesa za kukombo viti vya walemavu bandarini, mchezo utakao chezwa uwanja wa Taifa.

Viingilo vya mchezo huo vitakuwa Tshs 1000/=, 3000/=, 10,000/= na 15,000/=

Timu zote mbili ziko katika maandalizi ya Mapinduzi Cup, Duru la pili Ligi kuu ya vodacom na Klabu bingwa Africa kwa upande wa Yanga.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.