Saturday, January 28, 2012
Nyoni apata msiba
Posted By: azam fans - 10:37 PMNachukua fursa hii kwa masikitiko makubwa kuwaarifu mashabiki wote wa Azam FC na soka la Tanzania kwa ujumla kuwa mama wa beki mahiri watimu yetu ya Azam na timu ya Taifa Erasto Nyoni, hatuko nae tena.
Kwa taarifa zilizosikika katika kipindi cha Sports xtra kinacho rushwa na Clouds FM msiba huo umetokea leo.
Azam Fans Club tunampa pole na kuungananae katika kipindi hiki kigumu alichonacho ndugu yetu Erasto Nyoni.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.
What's Related?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment