Thursday, May 31, 2012

Uzi kwaajili ya msimu ujao

Posted By: azam fans - 10:27 AM

Share

& Comment

Mabingwa wa Mapinduzi Azam FC msimu ujao watatumia uzi (jezi) za blue na njano badala ya njano na nyeupe kama msimu wa 2011/12.

Jezi hizo mpya kama zinavyo onekana kwenye picha, zinataraji kutuwa nchini hivi karibuni na zitatumiwa na Azam FC katika michuano ya Kimataifa na ya Ligi kuu ya Vodacom.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.