Azam fc leo wamefanya mazoezi katika uwanja utakao tumiwa katika mchezo huo wa jumapili utakao tangazwa moja kwa moja kupitia kituo cha KISS FM.
Katika mchezo huo wa jumapili azam fc watakosa huduma za kiuongo Salum Aboubakary 'Sure boy' aliyeachwa jijini Dar es salaam baada ya kuuguwa khafla malaria.
Katika hatua nyingine azam fc wameikataa hoteli iliyoandaliwa na wenyeji wao na kuamua kuchukuwa hoteli nyingine.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com
[+255 657 184 421]
0 Maoni:
Post a Comment