Msafara wa Azam fc ulibidi urejee kwa makundi jijini Dar es salaam baada ya kuwasili katika jiji la Nairobi na kukuta ndege ya kuwatoa Nairobi kuja Dar es salaam kuwa haina nafasi ya kuwachukuwa wote hivyo ikawabidi watoke Nahrobi kwa makundi.
Kundi la kwanza liliwasili saa mbili asubuhi huku la pili likiwasili mchana salama.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com
[+255 657 184 421]
0 Maoni:
Post a Comment