Rage akizungumza kutokea nchini India leo alitoa pongezi kwa azam fc kuonyesha njia kwa kuwa wa mwanzo kuwa na complexs ya mchezo ambapo kwa kiasi kikubwa awamu ya kwanza imekamilika ambapo inataraji kuisha mwezi wa sita mwaka huu na mwakani kuanza awamu ya pili.
Raisi Kikwete ndie aliyezindua azam stadium complex hii leo, huku akiangalia namna ya kampuni ya SSB ilivyowekeza katika soka kupitia timu yao ya Azam fc.
kujua nini kilicho zungumzwa leo katika uzinduzi huo, twa waomba mtembelee katika mitandao ya www.azamfc.co.tz www.shaffihdauda.com www.jembesalehe.blogspot.com na blog ya BIN ZUBEIRY
Tunaomba mtiwie radhi kwa kushindwa kukuleteeni yaliyozungumzwa katika uzinduzi huo.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html
[+255 657 184 421]
0 Maoni:
Post a Comment