Mchezo huo utakao tangazwa moja kwa moja kupitia kituo cha kiss fm ni wa awali hatua ya pili kombe la shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika.
Azam fc leo itashuka bila ya kiungo mchezeshaji Salum Aboubakary huku wachezaji wengine walio ambatana na timu wa kiwa fiti asilimia zote kwa mchezo wa leo ukiondoa Brian Umony.
Akizungumza na clouds fm hapo jana msemaji wa azam fc Japhari Iddi Maganga alisema kuwa Umonyi hana hatihati ya kutokuwemo katika kikosi cha leo kutokana na kuwa bado hayuko fiti kwa asilimia zote, huku Salum Aboubakary akiwa ameachwa nchini Tanzania kutokana na kuuguwa khafla.
Aliongeza kuwa wachezaji wengine wako fiti kwa ajhli ya mchezo wa leo huku wakichukuwa tahadhari kubwa katika chakula.
Kwa mtazamo wangu kikosi leo kinaweza kuwa hivi; MWADINI ALLY, HIMID MAO, WAZIRI SALUM, JOACKINS ATUDO, DAVID MWANTIKA, MICHAEL BOLOU, KIPRE TCHETCHE, IBRAHIM MWAIPOPO, JOHN BOCCO, HUMPHREY MIENO NA MCHA KHAMISI
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com
[+255 657 184 421]
0 Maoni:
Post a Comment