Katika mchezo wa leo beki David Mwantika hatoweza kucheza dhidi ya timu yake ya awali kutokana na kutumikia adhabu ya kukosa michezo mitatu, sambamba na Samir Hajji Nuhu ambaye alikuwa majeruhi na bado hajawa fiti kwa asilimia zote.
Azam fc iko katika nafasi ya pili ikiwa na point 37 wakiwa nyuma kwa point 11 toka kwa vinara yanga yenye point 48.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html
0 Maoni:
Post a Comment