Friday, July 25, 2014

ACADEMIC WATINGA ROBO, SASA KUIKABILI SIMBA B

Posted By: Unknown - 5:42 PM

Share

& Comment

Baloteli akipongezwa na wenzake
Azam academic leo imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Rolling stone inayo indelea jijini Dar es salaam baada ya kuwafunga goli 3-0 timu ya Jacky ya Mbagala.

Mchezo huo uliowakutanisha majirani wawili ulichezwa katika uwanja wa Karume na kushuhudia Azam Academic wakipata magoli yao matatu kupitia kwa Jamil Mchaulu Baloteli, Masoud Abdallah na Adam Soba.

Sasa Azam academic watakutana na wapinzani wao wa soka la vijana hapa Tanzania Simba SC katika mchezo wa robo fainali.

Simba SC na Azam academic wamekuwa wakikutabna mara kwa mara kati michuano ya Uhai pamoja na hii ya Rolling stone, na mara zote michezo yao huwa na ushindani mkubwa kabla na hatra ndani ya mchezo.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.