Tuesday, July 15, 2014

AZAM WAWACHAPA GOLI 1 POLISI MORO, LEONEL AKIFUNGUA UKURASA

Posted By: Unknown - 6:47 PM

Share

& Comment

Mshambuliaji mpya wa Azam FC kutoka Malia, Ismaila Diara akiruka miguu ya beki wa Polisi Morogoro katika mchezo wa kirafiki baina ya timu za Ligi Kuu, asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa Azam FC, Seif Abdallah akimiliki mpra mbele ya beki wa Polisi
Mfungaji wa bao pekee la ushindi la Azam FC kipindi cha pili,  Leonel Saint- Preux kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Lulanga Mapunda
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' kulia akiambaa na mpira
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchethe akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Polisi, Lulanga Mapunda
Kutoka kulia Mwadini Ali, Kipre Tchetche, Leonel Saint-Preuz na Ismaila Diara wakati wa mapumziko



SOURCE: BIN ZUBEIRY

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.