Friday, September 19, 2014

AZAM FC KUCHEZA USIKU VPL

Posted By: Unknown - 5:18 PM

Share

& Comment

https://m.ak.fbcdn.net/photos-c.ak/hphotos-ak-xfp1/v/t1.0-0/q85/s320x320/10676360_824926337547724_6582830123110615440_n.jpg?oh=8eda7f7e03dd77312d9dd713a66129e8&oe=54C41B62&__gda__=1418997195_5a8b278e89387d7da2b1a54ee5588739
Wakati mazoezi yanaendelea kwajili ya kuanza msimu mpya ambao unaanza kesho. Maandalizi pia ya kucheza usiku kwa kutumia taa za kisasa pia yanaendelea. Iwapo itakamilika leo basi ni dhahiri kwamba mechi za ligi kuanzia kesho zitakua zinachezwa usiku. Pichani chini ni hali ilivyokua jana usiku wakati taa zinajaribiwa, lakini mafundi wanaendelea kufanya marekebisho ili kufikia kiwango tarajali. Timu bora Bidhaa bora!

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.