Thursday, September 25, 2014

LEONEL NNJE WIKI MBILI

Posted By: kj - 9:47 AM

Share

& Comment


 https://m.ak.fbcdn.net/photos-h.ak/hphotos-ak-xap1/v/t1.0-0/p320x320/1660753_828139657226392_6948876660009876254_n.jpg?oh=08d70de0ef7539997074c2e51544c818&oe=54BAB2F5&__gda__=1422122204_996d90a8e7aa2093e07b0749c95cd1b1

Mshambuliaji kutoka Haiti ambaye amesajiliwa msimu huu LEONEL SAINT PREUX atakuwa nje ya kiwanja kwa majuma mawili baada ya uchunguzi wa afya aliofanyiwa jana kubaini kwamba ana tatizo katika unyayo wa mguu wake wa kushoto. 

Dr. Mbaruku Mlinga ambaye ndiye daktari wa timu amesema ni tatizo dogo ambalo linaihitaji uangalizi wa karibu na mapumziko wakati matibabu yakiendelea.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.