Wachezaji wa Azam FC walipewa mapumziko ya wiki mbili baada ya ligi kusimama mabapo inatarajia kuendelea tena desmber 26 mwaka huu.
"Baada ya kuwa kwenye mapumziko ya takribani wiki mbili, timu ya Azam inatarajia kuanza mazoezi yake kuanzia kesho asubuhi kwenye dimba la Azam Complex, Jijini Dar es Salaam." imeeleza taarifa ya Azam FC katika ukurasa wao wa Facebook.

Ligi kwa sasa inaongoza na Mtibwa Sugar wenye pointi 15 ambapo mpaka ligi inasimama walikuwa bado hawaja poteza mchezo wowote ule.
0 Maoni:
Post a Comment