Serge Wawa Pascal. Mmoja kati ya mabeki bora barani Afrika toka Ivory Coast. Alikuwa akiichea El Mereikh ya Sudan hadi wiki iliyopita atatua nchini usiku wa leo kujiunga na Azam FC. maandalizi ya Klabu Bingwa Afrika yanaendelea....
Sunday, November 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment