![]() |
| Beki wa Azam FC, Gardiel Michael akimtoka beki wa Coastal, Mbwana Hamisi KIbacha aliyelala chini |
![]() |
| Kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado akiwa ameruka juu kuondosha hatari langoni mwake jana |
![]() |
| Beki wa Coastal, Sabir Rashid akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Kipre Balou akipiga mpira mbele ya mshambuliaji wa Coastal, Bright Obinna |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Himid Mao (kushoto) akipambana kumtoka Kenneth Masumbuko wa Coastal jana |
PICHA ZOTE KUTOKA KWA BIN ZUBEIRY BLOG






SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment