Mfungaji bora wa wakati wote wa mabingwa wa anzania Bara Azam FC, John Raphael Bocco ameondoka nnchini sambamba na viungo Joseph Kimwaga na Franky Domayo kuelekea Afrika kusini kwa ajili ya kuangalia maendeleo yao kabla ya kurejea uwanjani.
Joseph Kimwaga na Franky Domayo wanataraji kurejea kwenye mchezo dhidi ya yanga huku hatima ya John Bocco itafahamika baada ya Safari hiyo.
Kimwaga na Domayo walifanyiwa upasuaji Afrika kusini wakati John Bocco toka aumie kwenye michuano ya Kagame Cup bado hajarejea uwanjani
![]() |
John Bocco, Joseph Kimwaga na Franky Dumayo wakiwa uwanja wa ndege kabla ya kuelea Afrika kusini |
Kimwaga na Domayo walifanyiwa upasuaji Afrika kusini wakati John Bocco toka aumie kwenye michuano ya Kagame Cup bado hajarejea uwanjani
0 Maoni:
Post a Comment