Ili kuwaleta mashabiki wetu karibu, Azam Fc kwa kushirikiana na wadhamini wetu ambao ni Benki ya NMB, Alhamisi ya tarehe 11 ya mwezi huu tutazindua kadi maalumu za mashabiki wetu.
Tuliahidi kuwaleta mashabiki wetu pamoja na sasa tumeanza kutekeleza. "Timu bora, Bidhaa bora"
0 Maoni:
Post a Comment