Tuesday, December 23, 2014

AZAM WAZINDUA KADI ZA WANACHAMA

Posted By: kj - 5:00 PM

Share

& Comment

jkt
Azam kwa kushirikiana na NMB Bank wamezindua kadi ambayo itatumika kuweka na kutoa pesa popote penye tawi la benki ya NMB, kadi hiyo pia itakuwa na taarifa zote za wanachama ambayo itaonyesha jina na sehemu alipo mwanachama,‬ Kadi hizo zitapatikana nchi nzima ‬

Pia itawafanya wanachama kuwa wateja wa nmb moja kwa moja,Leo kwa kuanzia zitatolewa kadi 100 kwa mashabiki wa timu hiyo.
jk
Mgeni wa heshima kwenye hafla hiyo naibu waziri wa michezo mh Juma Nkamia amesema umefika muda wa kuondokana na zama za kushabikia vilabu vya simba na yanga pekee. pia amesisitiza w atanzania wazisapoti klabu za yanga na azam kwenye michezo yao ya kimataifa

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.