![]() |
Mabeki wa Azam FC, Serge Wawa Pascal (kushoto) na Said Mourad (kulia) wakijiandaa kwa mazoezi jana Uwanja wa jeshi nchini Sudan. Azam FC waliwasili usiku wa kuamkia jana mjini Khartoum, Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudiao Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, El Merreikh mwishoni mwa wiki. |
![]() |
Wachezaji wa Azam wakijiandaa kwa mazoezi jana |
![]() |
Makocha wa Azam FC kutoka kushoto, George 'Best' Nsimbe (Msaidizi), Joseph Marius Omog (Mkuu), Ibrahim Shikanda (Msaidizi wa pili) na Iddi Abubakar wa makipa wakiwa katika kikao |
![]() |
Wachezaji wakifanya mazoezi mepesi Uwanja wa Jeshi |
![]() |
Beki tegemeo la timu, Aggrey Morris akijiandaa |
![]() |
Wachezaji wanaaonekana wapo katika hali nzuri kuelekea mchezo huo |
0 Maoni:
Post a Comment