Monday, March 2, 2015

OMOG, SHIKANDA SI MAKOCHA WA AZAM FC

Posted By: Unknown - 5:29 PM

Share

& Comment

Kutoka katika ukurasa wa facebook wa azam fc

Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14. Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu uliopita ameondoka pamoja na msaidiI wake Ibrahim Shikanda. Kwa sasa timu itakuwa chini ya George Best Nsimbe

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.