Wednesday, March 11, 2015

RASMI: KITAMBI KUMSAIDIA NSIMBE, AANZA LEO KIBARUA

Posted By: kj - 5:25 PM

Share

& Comment


Dennis Kitambi, kocha wa zamani wa Ndanda FC na mchambuzi wa soka kwenye luninga leo ameanza kazi kama kocha msaidizi wa George Best Nsimbe. Tunamtakia Kitambi kila la heri kwenye majukumu yake...

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © 2025 CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.