Mabingwa wa tetezi wa Tanzania bara Azam fc hii leo wamepata sare ya pili mfululizo, baada ya kufungana na mtibwa sugar kwa goli 1-1 katika uwanja wa M anungu Morogoro.
Katika mchezo huo wa ligi kuu ya vodacom, Azam FC walikuwa wa mwanzo kupata goli kupitia kwa Himid Mao, akitumia vyema pasi ya Franky Domao katika dakika ya 17.
Mtibwa sugar walisawazisha goli hilo katika dakika ya 20 kupitia kwa Mussa Hassan Mgosi na kupelekea mchezo huo kumalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1.
Kwa matokeo hayo ya leo Azam fc wamefikisha pointi 38 na kuwa nyuma kwa point 5 toka kwa vinara yanga wenye pointi 43.

SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment