Thursday, June 18, 2015

KUTOKA BIN ZUBEIRY: AZAM WALIVYOPASHA LEO

Posted By: Abdallah Sulayman - 6:23 PM

Share

& Comment

Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi katika bwawa la kuogelea makao makuu ya klabu yao, Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam asubuhi ya leo.
Kocha Msaidizi wa Azam FC, Mario Marinica kutoka Romania (kulia) akiwapa maelekezo wachezaji wakati wa mazoezi ya kwenye bwawa la kuogelea asubuhi ya leo
Mshambuliaji Mrundi Didier Kavumbangu akiwa kwenye bwawa la kuogelea
Kiungo Himid Mao akionyesha umahiri wa kupasua 'mawimbi'
Kiungo Omar Wayne akiruka juu kuingia kwenye bwawa
Beki Said Mourad akipiga pushapu katika mazoezi ya awali ya viungo uwanjani
Mario Marinica akiongoza mazoezi ya viungo asubuhi ya leo

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.