Saturday, August 22, 2015

PONGEZI KWA YANGA KWA KUTWAA NGAO YA JAMII

Posted By: kj - 7:51 PM

Share

& Comment

Nikiwa kama shabiki wa Azam FC na muendesha blog hii ya Chama Langu Ni Azam  kwa kuungana na msimamzi wa facebook page ya Azam FC na msimamizi wa facebook page ya Azam FC Social Media Fan na mashabiki wengine wa Azam FC kuwapa hongera Yanga SC kwa kufanikiwa kuchukuwa Ngao ya Jamii kwa mara ya tatu mfululizo.

Vile vile na wapongeza wachezaji wa Azam FC kwa kuhakikisha tunaendeleza rikodi ya kutoruhusu nyavu zetu kuguswa katika dakika 90 za mchezo, Tujipange kwa ajili ya msimu wa ligi kuu ya vodacom abapo mchezo wa kwanza utachezwa september 12 mwaka huu.

Kila la Kheri Azam FC katika maandalizi ya mwisho mwisho ya ligi kuu, na hongera Yanga kwa kutwaa Ngao ya Jamii.


0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © 2025 CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.