Saturday, July 14, 2012

Azam kutupa karata ya kwanza Kagame Kesho

Posted By: kj - 8:28 PM

Share

& Comment

Kikosi cha Azam FC katika michuano ya Urafiki
Baada ya kuukosa ubingwa wa Urafiki siku ya Alhamisi, kesho saa 10 jioni Azam FC watatupa karata yao ya kwanza katika michuano ya Kagame Cup, ikshiriki kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa Azam FC watakapo wakabili Mafunzo FC.

Azam FC na Mafunzo FC toka Zanzibar watachuana katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi, na mara ya mwisho vikosi hivi kukutana ni katika michuano ya kombe la Urafiki ambapo Azam FC waliichapa Mafunzo magoli 3-2.

Mafunzo hawana historia ya kuwafunga Azam FC katika michezo mbalimbali walio kutana. 

1 Maoni:

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.